Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,738
ni wapi nimetumia hiyo kauli ya kwamba ni guarantee kuwa ukiwa & pesa hakuna wa kukusumbua??Kumbe unajua maisha yalivyo na ndiyo maana nikasema huyo mwenyewe lakini kalala jela ila masikini sijawahi kulala huko,sasa wewe uliposema ukiwa na hela sijui hakuna wa kukusumbua ulisahau kuwa maisha hayana guarantee?