China inasubiria nini kuichukua Taiwan?

China inasubiria nini kuichukua Taiwan?

China mpaka kesho inaitambua Taiwan kama eneo lake halali, kihistoria ni kweli maana baada ya wacommunisti chini ya Mao Tsetung kushinda Vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka ya 1949, kina Chang kai-shaik walikimbilia Taiwan wakaanzisha utawala huko.

Ila kwa sasa itakuwa vigumu sana kwani Marekani ni mshirika mkubwa wa kijeshi wa Taiwan.

Ila kidiplomasia China amejitahidi sana kuizuia Taiwan kutambulika kama nchi huru mfano huku Africa ni nchi moja tu ya Swaziland ambayo ina uhusiano wa kidiplomasia na Taiwan.
 
Sisi kama wadau wa China na wapenzi wa nchi ya China na tunaopenda kuiona siku moja china inatimiza ndoto yake ya kuwa china moja yenye nguvu kwa maendeleo ya dunia kwa ujumla

Wadau hoja zenu zinahitajika kwa namna gani tunaweza kuirudisha taiwan kwenye nchi ya ahadi yenye maziwa na asali
Sasa wewe ndio mpambe wa wachina sio. China ni nchi ambayo haiaminiki na wananchi wao wamedidimizwa mno na wewe ndiyo unawaombea wananchi wa Taiwan 🇹🇼 wavamiwe. Wewe kwanza anza na kujitibu akili zako halafu sisi tutakunywesha maziwa na asali.
 
"£$%^&**@#? wewe

Sikiliza Idiota wewe, itakuja zamu yako
imebidi nitafute yenye lugha unayoelewa, usisingizie lugha ni tatanishi

""Najua utabisha kwa sababu ubishi ni asili yenu na ukoo wenu wote mtabisha, lakini tafuta elimu kwanza kabla hujabisha""

 
Back
Top Bottom