China inafanya mazoezi ya kuishambulia marekani

China inafanya mazoezi ya kuishambulia marekani

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo mmarekani acha aendelee kucheka na mchina atakuja kukutana nacho.
 
Wameshindwa ya Iran ya china watayaweza. This is USA propaganda, kuwapoteza maboya kuhusu Iran.
 
Ukiona kitu ngumu kumeza kama hii kwa Dunia basi ujue kuna jambo gumu zaidi kwa mmoja wao ila wanasaidiana matatizo kwa kutuhamishia kushoto ili mwenye tatizo lake alipitishe kulia.
 
Kuna uwezekano kuwa jeshi la China linafanya mazoezi ya kushambuia vituo vya Marekani na vya washirika huko Pacific, kwa mujibu kwa makao makuu ya ulinzi ya Marekani.

Ripoti: China inafanya mazoezi ya kushambulia vituo vya Marekani
Yaani dunia nzima IPO chini ya USA. Wanatuangalia tunachofanya huyo mchina atapasuka mapema sana akifanya mchezo
FB_IMG_15345928809298346.jpg
FB_IMG_15345929135646231.jpg
FB_IMG_15345929049416234.jpg
FB_IMG_15345928731567859.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom