China Ghost Towns -- Copy Cats

China Ghost Towns -- Copy Cats

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,498
Reaction score
32,211
Wachina ni wazee wa kucopy, hadi wameenda mbali zaidi mpaka kukcopy miji mashughulli ya Ulaya. Jumla wamejenga miji kumi na moja nje kidogo ya mji wa Shanghai lengo lilikuwa matajiri wa China ambao wanapenda kuishi Ulaya wasiende Ulaya bali wachague copy ya mji wanaopenda China waishi hapo.

Ila project zote zilifail maana kwa sasa hakuna wanaoishi katika miji hiyo zaidi ya kukuta maharusi waipiga picha baada ya kufunga ndoa. Walisahau kwamba si majengo na mpangilio wa miji unaowafanya watu watake kwenda miji fulani, pia watu ni muhimu.

Copy ya Paris
paris.jpg


Usidhani hapa ni Paris, bali ni copy ya mpangilio na majengo ya Paris mpaka mnara.



London

london.jpg
london2.jpg

hii siyo ondon bali ni copy ya mji wa london China

Swiss Village
swiss.jpg
 
Pale Victoria pia kuna Copy Cat, ni ya mji gani.?
 
Nadhani hata Las Vegas Marekani nao wana copy ya miji mikubwa duniani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mambo yakawaida sana haya hakuna jipya chini yajua.....

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom