Ingekuwa tuna sheria kama hii Bongo, basi mafisadi wengi wangekuwa marehemu siku nyingi tu. Huyu kachota $4.7m tu lakini wa kwetu wamechukua $133m kwenye EPA, Meremeta $155m, Richmond/Dowans bado wanachota tu, KCM $7m, Rada $12m lakini wote hawa bado wanapeta!!!