China: Asiyesikia la Mkuu

China: Asiyesikia la Mkuu

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
HABARI za majukumu wana jukwaa
naingia ulingoni kama ifuatavyo:

Mwanzoni mwa operetion ya urusi pale Ukraine nchi za magharibi zilijibu kwa kuweka vikwazo vizito dhidi ya russia

ili kuhakikisha vikwanzo vinamuingia kisawa sawa nchi za magharibi zikashinikiza hadi washirika wa russia nao walaani uvamizi huo wa Russia

wakaanza na India india akalaani na kupunguza kwa sehemu ushirikiano na Russia

akaja kwa CHINA. akaambiwa tunakutegemea wewe kama mshirika mkubwa wa russia kama huwezi kulaani basi unga mkono Vikwazo vya west dhid ya russia.

sote tunajua
China alikataaa na kama haitoshi akatangaza ushirikiano usio na kikomo na russia na kuthibitisha hilo wakaingia mikataba minono tena ya kimkakati na russia.

USA akaonya weee mwisho akasema fresh
asie sikia la mkuu.
kwanza wakaanza kumpunguzia CHINA ushawishi wa kikanda hasa kanda ya indo pasifiki.

wakaamua kumzalilisha kwa Kuiunga mkono TAIWAN kwa kumpeleka speaker pelos huku wakikejeli reaction alizo tumia mchina kujibu uchokoz huo.

Wakati mchina alipo dhani mikwara ya kutupa mabom utaitisha USA ndo kwanza Akaweka petrol kwenye moto.

USA akasubiri hadi hasira za china ziishe. zilipo pungua wakapeleka Congress taiwan. china akafura tena.

USA Akasubir amalize Leo wawakilishi toka JAPAN nao wakaingia na juz INDIA nao wakafufua mgogoro wao wa mpaka na china.

narudia Tena ASIE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU inshu ilikua ndogo tu CHINA alitakiwa kulaani uvamiz hilo tu.

Now asira za CHINA zikiisha wanaume wanatangaza uhuru.

hapo hutakua na mtu kukupa msaada ikitokea vita dhid yako

SOMO.
kama umekaa ukiona mkubwa kasimama Mpishe akae.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mataifa yanayoendeshwa ki capitalist na ki communist, yaani izo ni dunia mbili tofauti... sema bahati mbaya tulishalaaniwa hatujui kinachoendelea kwene izi dunia mbili, hata historia hatuzifunzi.

Kwa kifupi tukumbushane tu kwamba hakuna usawa kwene ubepari ndo mana kwa kipindi kirefu watu weusi tulitumika kama wanyama kipindi cha utumwa, rasilimali zetu zilichukuliwa za kutosha, pamoja na kujaaliwa rasilimali ila bado standard ya maisha yetu ni tatizo, mpaka kesho jamaa wametufanya watumwa kwa biashara zisizo na usawa... bahati mbaya tunaona sawa tu.

Kipindi ichi kimetudhihirishia kwamba hao unaowaita wakubwa hawajitoshelezi kwa mambo mengi, na kama unakumbuka moja ya sababu za kufanya watawale mataifa mengine ilikuwa ni kuishiwa rasilimali kwene maeneo, ko mpango wao haujafika kikomo kwa sababu bado wanahitaji kuishi kwa mifumo yao ya kunyonya wengine.

Asia (china na rusia) ni sehemu wanazozitolea macho kwa kipindi, iyo migogoro ni beyond tunavoiona... embu hata kama tumepumbazwa na hatuna uwezo wa kujinasua kwene huu utumwa, basi tujaribu kureason kidogo kabla ya kushabikia majitu yanayotutesa enzi na enzi... inakera sana
 
Africa tunateswa na ubongo wetu wenyewe
Ufisadi, uroho wa madaraka na uchawi.
uzalendo ni sifuri Bongo za viongizi wetu zimeoza.
 
HABARI za majukumu wana jukwaa
naingia ulingoni kama ifuatavyo:

Mwanzoni mwa operetion ya urusi pale Ukraine nchi za magharibi zilijibu kwa kuweka vikwazo vizito dhidi ya russia

ili kuhakikisha vikwanzo vinamuingia kisawa sawa nchi za magharibi zikashinikiza hadi washirika wa russia nao walaani uvamizi huo wa Russia

wakaanza na India india akalaani na kupunguza kwa sehemu ushirikiano na Russia

akaja kwa CHINA. akaambiwa tunakutegemea wewe kama mshirika mkubwa wa russia kama huwezi kulaani basi unga mkono Vikwazo vya west dhid ya russia.

sote tunajua
China alikataaa na kama haitoshi akatangaza ushirikiano usio na kikomo na russia na kuthibitisha hilo wakaingia mikataba minono tena ya kimkakati na russia.

USA akaonya weee mwisho akasema fresh
asie sikia la mkuu.
kwanza wakaanza kumpunguzia CHINA ushawishi wa kikanda hasa kanda ya indo pasifiki.

wakaamua kumzalilisha kwa Kuiunga mkono TAIWAN kwa kumpeleka speaker pelos huku wakikejeli reaction alizo tumia mchina kujibu uchokoz huo.

Wakati mchina alipo dhani mikwara ya kutupa mabom utaitisha USA ndo kwanza Akaweka petrol kwenye moto.

USA akasubiri hadi hasira za china ziishe. zilipo pungua wakapeleka Congress taiwan. china akafura tena.

USA Akasubir amalize Leo wawakilishi toka JAPAN nao wakaingia na juz INDIA nao wakafufua mgogoro wao wa mpaka na china.

narudia Tena ASIE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU inshu ilikua ndogo tu CHINA alitakiwa kulaani uvamiz hilo tu.

Now asira za CHINA zikiisha wanaume wanatangaza uhuru.

hapo hutakua na mtu kukupa msaada ikitokea vita dhid yako

SOMO.
kama umekaa ukiona mkubwa kasimama Mpishe akae.
1. U.S.A anamuunga mkono ROC kwenye nini ?

2. Nani atatangaza Uhuru wa ROC ? Na unadhani itakuwa ni rahisi hivyo ?

3. India kapunguza ushirikiano na Russia kwenye nini ?

4. Kwani PRC alisema anahitaji msaada pale endapo peacefully unification na ROC ikishindikana ?

5. Kwa nini unailazimisha PRC kulaani Operation ya Russia ndani ya Ukraine ? Kwa nini usiyaseme mataifa ya mrengo wa kulia kwa kulaani mgogoro wa Russia na Ukraine huku wakiendelea kunua mafuta Russia wakiwemo mataifa mbalimbali ya EU na mataifa Kama ROC, Japan, South Korea nao wakiendelea kunua nua mafuta Russia licha ya kulaani kinafiki?
 
Lakini ukumbuke India na china ni mahasimu wa mda mrefu. Na uhasama umetengeneza na USA ili wasielewane Mchina na Mhindi
Swala hapa ni India na Mrusi mtoa mada kasema China anaadhibiwa sababu amekataa kuwaunga mkono Us na NATO kwenye ishu ya Ukraine wakati mwenzake India anapeta.
Taarifa yake siyo ya kweli kwani India na Mrusi wanafanya biashara kubwa na tayari wanatumia mfumo wao wa malipo
 
Africa tunateswa na ubongo wetu wenyewe
Ufisadi, uroho wa madaraka na uchawi.
uzalendo ni sifuri Bongo za viongizi wetu zimeoza.
Huu ndo ukweli mchungu kwetu. Make Leo viongozi wetu ni wezi wakubwa na wanatuibia na kwenda kuficha hela huko kwao. Hawana uchungu na maisha ya wananchi. Elimu yet hawataki kuifanyia mabadiliko. Huduma za jamii kama
elimu.
Afya
Maji
Barabara
Mawasiliano
Hawataki kuboresha.
Ebu fikiria kilimo kimeachwa kabisa hakuna kiongozi anahangaika nacho. Hakuna somo la kilimo mashuleni. Tuna mabonde mazuri sana lakin hakuna kilimo Cha umwagiliaji. Kuzunguka maziwa yetu yote hakuna kilimo Cha umwagiliaji.

Unaweza ukanambia haya yote yanasababishwa na mzungu kweli. Kwangu nakataa aisee. Kama tuna viongozi kama Kipara. Nape. Mwigulu. Riziwani unategemea Nini kweli kama sio kutuongezea umaskin tu
 
Swala hapa ni India na Mrusi mtoa mada kasema China anaadhibiwa sababu amekataa kuwaunga mkono Us na NATO kwenye ishu ya Ukraine wakati mwenzake India anapeta.
Taarifa yake siyo ya kweli kwani India na Mrusi wanafanya biashara kubwa na tayari wanatumia mfumo wao wa malipo
Sijakataa ndugu yangu. Kwenye huu mgogoro wa china na Taiwan. USA amefanikiwa kutengeneza maadui wanaomzunguka Mchina. Issue yangu Iko hapo.
 
HABARI za majukumu wana jukwaa
naingia ulingoni kama ifuatavyo:

Mwanzoni mwa operetion ya urusi pale Ukraine nchi za magharibi zilijibu kwa kuweka vikwazo vizito dhidi ya russia

ili kuhakikisha vikwanzo vinamuingia kisawa sawa nchi za magharibi zikashinikiza hadi washirika wa russia nao walaani uvamizi huo wa Russia

wakaanza na India india akalaani na kupunguza kwa sehemu ushirikiano na Russia

akaja kwa CHINA. akaambiwa tunakutegemea wewe kama mshirika mkubwa wa russia kama huwezi kulaani basi unga mkono Vikwazo vya west dhid ya russia.

sote tunajua
China alikataaa na kama haitoshi akatangaza ushirikiano usio na kikomo na russia na kuthibitisha hilo wakaingia mikataba minono tena ya kimkakati na russia.

USA akaonya weee mwisho akasema fresh
asie sikia la mkuu.
kwanza wakaanza kumpunguzia CHINA ushawishi wa kikanda hasa kanda ya indo pasifiki.

wakaamua kumzalilisha kwa Kuiunga mkono TAIWAN kwa kumpeleka speaker pelos huku wakikejeli reaction alizo tumia mchina kujibu uchokoz huo.

Wakati mchina alipo dhani mikwara ya kutupa mabom utaitisha USA ndo kwanza Akaweka petrol kwenye moto.

USA akasubiri hadi hasira za china ziishe. zilipo pungua wakapeleka Congress taiwan. china akafura tena.

USA Akasubir amalize Leo wawakilishi toka JAPAN nao wakaingia na juz INDIA nao wakafufua mgogoro wao wa mpaka na china.

narudia Tena ASIE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU inshu ilikua ndogo tu CHINA alitakiwa kulaani uvamiz hilo tu.

Now asira za CHINA zikiisha wanaume wanatangaza uhuru.

hapo hutakua na mtu kukupa msaada ikitokea vita dhid yako

SOMO.
kama umekaa ukiona mkubwa kasimama Mpishe akae.
Uzi wa kijinga kabisa
 
Swala hapa ni India na Mrusi mtoa mada kasema China anaadhibiwa sababu amekataa kuwaunga mkono Us na NATO kwenye ishu ya Ukraine wakati mwenzake India anapeta.
Taarifa yake siyo ya kweli kwani India na Mrusi wanafanya biashara kubwa na tayari wanatumia mfumo wao wa malipo

Utegemezi wa silaha za russia kwenda india umeshuka na baadhi ya mikataba kufa
india anaendelea kununua mafuta kwa sababu Ubwelelee uliopo unaathiri uchumi wa russia
source hii apa chini

Njoo ujipatie mafuta safi ya alizeti kuanzia30,000 kwa lita tano,mafuta yetu ni salama na masafi kwa matumizi ya binadamu piga 0715 378899 kariakooo,ukihitaji nakuletea
20220813_092039.jpg
 
Back
Top Bottom