Haha yule maza alinizoea sana mpk nikawa mwanae wa hiari ikafikia stage nakula bure kwake....
Kipindi hiko niko 1st yr, sasa wakati nataka kujiunga JF hapa nilipata shida kwenye jina gani nilitumie ndipo nikamkumbuka bi mkubwa wangu Mama Kifusi [emoji16] [emoji16]
Noma sana