Chimbo la viatu (men casual slippers/flip flops)

Midozenj01

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
410
385
Inakuaje wana JF

Bila kupoteza muda ningependa kujua machimbo ya hivyo viatu kwa bei ya jumla yapo wapi? Na ni shi ngapi?

Yaani ni kwa biashara sio matumizi binafsi

Any help i will appreciate.

Asanteni sana wakuu...
1613763541074.jpg
 
Inakuaje wana JF

Bila kupoteza muda ningependa kujua machimbo ya hivyo viatu kwa bei ya jumla yapo wapi? Na ni shi ngapi?

Yaani ni kwa biashara sio matumizi binafsi

Any help i will appreciate.

Asanteni sana wakuu...View attachment 1706805
Mkuu kwa Dar es Salaam fika Karikoo mtaa Msimbazi upande wa kushoto wa benki ya Posta hapo ndipo kuna machimbo yao. Unajua wauzaji wa jumla wanajificha sana mjini wanacgukua store ndani ndani ila wauzaji wa rejareja ndio wanakua nje.

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom