Chimbo la perfume, mafuta ya ngozi na nywele kwa jumla Kariakoo

ormystatus

Member
Nov 3, 2019
89
176
Habari za mda huu wadau.

Naomba kuuliza wapi naweza pata perfume, mafuta ya nywele na ngozi mazuri kwa bei ya jumla hapa kariakoo.
Na namna uuzaji wao ulivo kama wanauza kwa pc au kupima.

Natanguliza shukrani.

KWENYE SUBJECT NIMEMAANISHA NYWELE NIMESHINDWA KUFANYA EDITING.
 
Nipigie 0713039875 ndio eneo langu
 
Njoo Pm ,nipigie 🤫🤫🤫
How comes mfanya biashara aliye jukwaa la wazi Kama hili asiweke taarifa ya bidhaa take,amtak3 mtu mmoja aende chemba ?!
 
Husaidia KWENYE KUJUA SURA ZINAZOTAKIWA KUMILIKI MALI!? MAANA NYWEWE ZA RASI ZILITUMIKA KUJENGEA GOROFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…