Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Huyu chiligati na kiswahili chake cha kimakonde sasa anaboa..Magamba wanapiga makofi bure tuu kipuuzi.Chiligati km maCCM wengine wanamix kuondolewa CCM ktk utawala na Issue za amani nchini.Hii ndio nji ay aupotoshaji wanayoitumia sana Magamba.
Sishauri sana vichaa km hawa wapewe nafasi ya kuongea ujinga wao huku wakichanganya sana kuhusu amani.
Huu ni wendawazimu wa CCM na tuupinge kwa nguvu zote.Wanafanya hadi mauaji ili wajifanye kuwa wengine ndio wanataka towesha amani.