Chiligati km vichaa wengine wanomix Amani na kuondolewa CCM wasipewe tena plaform

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Huyu chiligati na kiswahili chake cha kimakonde sasa anaboa..Magamba wanapiga makofi bure tuu kipuuzi.Chiligati km maCCM wengine wanamix kuondolewa CCM ktk utawala na Issue za amani nchini.Hii ndio nji ay aupotoshaji wanayoitumia sana Magamba.

Sishauri sana vichaa km hawa wapewe nafasi ya kuongea ujinga wao huku wakichanganya sana kuhusu amani.

Huu ni wendawazimu wa CCM na tuupinge kwa nguvu zote.Wanafanya hadi mauaji ili wajifanye kuwa wengine ndio wanataka towesha amani.
 
Kule Arusha Chadema walikataa mazungumzo ya amani!

Jana Chadema walikuwa wanashangilia na kuunga mkono mauaji ya mwananchi!

Mbowe alitangaza "civil disobedience" nchi nzima!

"Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba"
 
ccm watalaam wa pumba na upuuzi wote, inayopatikana pale lumumba kwa wajinga wote karibuni pale.
"BUNCH OF MURDERER SHAME UPON THEM"
 
Kule Arusha Chadema walikataa mazungumzo ya amani!

Jana Chadema walikuwa wanashangilia na kuunga mkono mauaji ya mwananchi!

Mbowe alitangaza "civil disobedience" nchi nzima!

"Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba"

Hizi ndizo fikra za CCM..hata amani hawaijui km wewe ulivyoweka mistari ya kijinga hapa.Usuluhishi wa nini sasa?Marishiano ya nini sasa.

MBONA CCM HAWAKUWA NA UJASIRI WA KUSEM ANI MARIDHIANO YA NINI?MBONA WANAJIWEKA KTK HATIA WASIYOPENDA IKUBALI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom