Kwahiyo Castro hakuwa dictator? Hivi alikaa madarakani muda gani na baada ya kuondoka alimuachia nani madaraka?Kwanza muondoe Fidel Castro kwenye madikteta. Akili za waafrika wengi wameshikiwa akili na wazungu koko, yaani wakisema jambo tu mnakurupuka kama nguruwe pori na kueneza habari za kichoko.
Mfano, CIA agents na commandos unaelewa ni mara ngapi wametaka kumuua Fidel Castro!?
Unajua vita ngapi Cuba kapigana na USA!?
I am not and will not subscribe to foolish whitemens' views who want to demonize all leaders who strong , innovative and critical thinkers that they're dictators.
While, same whitemen works under invisible hands to kill millions of innocent people around the globe.
Pathetic kabisa.
Kwahiyo Castro hakuwa dictator? Hivi alikaa madarakani muda gani na baada ya kuondoka alimuachia nani madaraka?
Alafu utakuta wewe ndo wa kwanza kulalamika Magufuli ni dictator
So hakuna viongozi madikteta?Sijawahi kusema rais yeyote kuwa ni dictator.
Na kamwe hizi siasa uchwara za wazungu koko zisikufanye ukaona kuwa njia yetu ya uongozi ni mbaya.
Fidel Castro kawa madarakani zaidi ya miaka na muda wa Queen Elizabeth wa UK aliokaa madarakani !?
UK huwezi fanya maamuzi yoyote au mabadiliko bila Queen Elizabeth kupitisha ila wewe na porojo zako unaona Leo yupo Thereza May baada ya David Cameron, Tony Blair, Godwin Brown the list goes on, unajifariji kuwa wazungu ndiyo kipimo cha maisha.
Muulize, Mugabe anawajua wazungu koko nje na ndani.
Kwa hiyo, miaka ya Fidel Castro uongozini haimfanyi awe dictator, wala kumpatia nduguye nchi bado siyo udikiteta ili hali Cubans accepted that Raul Castro to be their President.
Jambo la msingi sana na la muhimu ni kama wananchi wamekubali hapo hakuna udikiteta wala tatizo.
I have pure facts about whitemens, I grew up with them, got my education with them and now working with them, "whitemens' souls and hearts are bad than of animals such as lions, bear, leopard and the like "
Therefore, Fidel Castro he have never been and till tomorrow he will never ever be a dictator.
Instead Fidel Castro was branded as a dictator by hypocrisy whitemen especially from USA who wish to exploit Cuba and the rest of Latin America.
Ila Kwa sababu, umekariri story za wazungu koko basi umefunga ufahamu wako hutaki kujisomea materials tofauti na yale yaliyoandikwa na wazungu koko.
Acha porojo na upoyoyo wa kinafiki.
Ukiwa wewe umeshikiliwa na mzungu castroKwanza muondoe Fidel Castro kwenye madikteta. Akili za waafrika wengi wameshikiwa akili na wazungu koko, yaani wakisema jambo tu mnakurupuka kama nguruwe pori na kueneza habari za kichoko.
Mfano, CIA agents na commandos unaelewa ni mara ngapi wametaka kumuua Fidel Castro!?
Unajua vita ngapi Cuba kapigana na USA!?
I am not and will not subscribe to foolish whitemens' views who want to demonize all leaders who are strong , innovative and critical thinkers that they're dictators.
While, same whitemen works under invisible hands to kill millions of innocent people around the globe.
Do you know the exactly number of people who have been killed up to date under the signatories of stupid presidents/ top leaders from USA, France, UK and so forth!?
Have you ever thought about the engineers of conflicts in african countries, middle East and the like!?
Muondoe Fidel Castro kwenye madikteta labda taarifa yako inaweza ikawa na hoja. Cuba under Fidel Castro, became a serviour to all colonized and exploited states in Africa and some Asian states.
Hizo ndizo sababu wazungu koko hawakumpenda Fidel Castro. Same applies to Col. Gaddafi May their Souls Rest in Peace
Pathetic kabisa.
So hakuna viongozi madikteta?
Bufa I have took off some credits from you. You have let me down here. Your contributions was poor enough to give a thumb to another contributor Poise. Kudos Poise!
Castrol alikua symbolic revolutionist kwa Afrika I dare not to say dictator
Poise,
Hiyo ni documentary ya channel ya Ujerumani DW Documentary, hivyo mtizamo wa hiyo channel ktk hii documentary husika siyo wa WaAfrika "wengi" bali ni Mhariri na Director wa chaneli hii waliotengeneza hiyo documentary.
Ila tunaruhusiwa ku-challenge mtizamo wa chaneli ya DW Documentary kwa mitizamo tofauti tofauti kufuatana na watazamaji wanavyofikiri na mara nyingi tutaona michango ya wanaJF ilivyo tofauti kwa afya ya kuruhusu kukubaliana kutofautiana mitizamo.
Kabisa mkuuKwanza muondoe Fidel Castro kwenye madikteta. Akili za waafrika wengi wameshikiwa akili na wazungu koko, yaani wakisema jambo tu mnakurupuka kama nguruwe pori na kueneza habari za kichoko.
Mfano, CIA agents na commandos unaelewa ni mara ngapi wametaka kumuua Fidel Castro!?
Unajua vita ngapi Cuba kapigana na USA!?
I am not and will not subscribe to foolish whitemens' views who want to demonize all leaders who are strong , innovative and critical thinkers that they're dictators.
While, same whitemen works under invisible hands to kill millions of innocent people around the globe.
Do you know the exactly number of people who have been killed up to date under the signatories of stupid presidents/ top leaders from USA, France, UK and so forth!?
Have you ever thought about the engineers of conflicts in african countries, middle East and the like!?
Muondoe Fidel Castro kwenye madikteta labda taarifa yako inaweza ikawa na hoja. Cuba under Fidel Castro, became a serviour to all colonized and exploited states in Africa and some Asian states.
Hizo ndizo sababu wazungu koko hawakumpenda Fidel Castro. Same applies to Col. Gaddafi May their Souls Rest in Peace
Pathetic kabisa.
You can't compares the Great fidelcastro to the kinds of dictators such Pinochet,idd Amin,mobutu,bokassa And The like,the late Castro were among of the founders of revollutionary's system of ruling after being tired of dictactor's system,they were supported by the majority,just give respect to him and his works
Yaani hata maana ya dictetor huijui. Kwa mtazamo wako basi malikia wa uingereza ni diktetor namba moja.Kwahiyo Castro hakuwa dictator? Hivi alikaa madarakani muda gani na baada ya kuondoka alimuachia nani madaraka?
Alafu utakuta wewe ndo wa kwanza kulalamika Magufuli ni dictator
Wapo mfano ni George Bush. Obama. Trump na malikia Elizabeth.So hakuna viongozi madikteta?