Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
474
Reaction score
196
Wakuu habari yenu,

Mbunge viti maalum Iringa Mjini mh. Chiku Abwao amejiunga rasmi ACT-Wazalendo.

Chanzo: ITV Habari


Katibu wa Mipango na mikakati wa ACT-Wazalendo,Habib Mchange akimkabidhi kadi ya mwanachama,aliyekuwa mbunge wa viti maalum Iringa Mjini mh. Chiku Abwao baada ya kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo





Mh. Chiku Abwao akiongea na waandishi wa habari,makao makuu ACT-Wazalendo



Sehemu ya waandishi wa Habari.
 
Huyo anamaono...ameshashtukia chadema imekosa dira na kamwe nchi haiwezi kuongozwa na Zombie
weweee chiku abwao ana muono!!!!!! unamfahamu au ushabiki wa kishamba tu,swezi kukusaidia historia yake jibidishe mwenyewe umtafute?huyu ni sawa na gest yake pale mshindo iringa round about
 
anasema eti asingekuwa yeye mchungaji peter msigwa asingeshinda ubunge 2010!!na kama angekuwa ana tamaa yeye ndio angekuwa mbunge wa iringa mjini, amechoka na siasa za visasi za tindu lisu!!! acha mizigo ipungue, na wabunge wengi wa viti maalum wa cdm walikuwa ni mizigo tu kama tindu lisu alivyowahi kusema.
 
Chiku Abwao kwaheri ya kuonana...

Pengine ndio ukawa mwisho wako kisiasa...
 
Hiyo ni kazi ya kura ya maoni ndio imemfikisha huko, na najua kama mchakato wa ccm ungekuwa bado tungemsikia yuko huko lakini kwa vile anatafuta kula lazima akimbilie huko. HIYO NI KAZI YA SOSOPI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…