Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,513
Baada ya CCM kumlazimisha Chifu Mtwa I kujaribu kukana baraka na sapoti aliyotoa kwa mgombea wa Chadema siku ya uzinduzi, jana Chifu Mtwa II amepanda jukwaani na kutoa sapoti kubwa kwenye mikutano 9, akikemea mambo ya kutithishana majimbo. Alisema huo si uchifu hata kdg na Kalenga hawatakubali.
Kwahisani ya Tumaini Makene toka uwanja wa vita vya ukombozi Kalenga.
Kwahisani ya Tumaini Makene toka uwanja wa vita vya ukombozi Kalenga.
Last edited by a moderator: