Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Mkuu Hii itakufaa??
ina kila ulicho kieleza
View attachment 109645
pia unaweza pitia link hii http://www.gsmarena.com/search.php3 na ukaweka vitu uvitakavyo ili upate simu uitakayo
Mkuu siku hizi kupata simu ambayo haina touch kabisa tena ya samsung ni kazi kwelimkuu mbona hiyo ina touch alaf haina frash!
inaitwaje hyo il niichek gugo
Inaitwa Samsung Galaxy Y Pro B5510
wengine wote ni viherehere kujibu swali la chief-mkwawahii title uliyoweka mkuu inakupunguzia watu wa kukushauri mtu anajua inamhusu chief mkwawa tu pasee hata kuifungua hafungui
Kwanini hukutumia PM?wanajamv, naomba mnjuze ni samsung ip ambayo ina 3g ,wifi,kamera ya kuanzia megapixel tano,yenye flashlight na kioo cha wastan ,pia iwe na keypad cio tach.pia bei nataka nami kuhamia 7amsung nione ma2nda yao
@chief-mkwawa Haonekani kujibu,wengine wote ni viherehere kujibu swali la chief-mkwawa
kweli kabisa hata sisi ni viherehere vyetu kufungua na kucomment hahahah!!!wengine wote ni viherehere kujibu swali la chief-mkwawa
umeona eehh anajaza nafasi ya thread tu!!!Ukitaka kutuma Personal Msg, mtumie mhusika moja kwa moja.
mkuu mbona hiyo ina touch alaf haina frash!
wengine wote ni viherehere kujibu swali la chief-mkwawa