Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
si ungemtumia pm?
ukiwa unahitaji msaada kutoka kwa mtu binafsi, wasiliana nae kwa pmKaka habari ,na2mai umzma hebu nitoe tongotongo kwa hili NINI TOFAUT YA simu ambayo ni clone na original manake nimepitia uzi mmoja humu nikaona m2 akidadavua kwamba kuna clone na orgnal m nlijua 2 kuwa clone ni moja yamajna ya aina za samsung.nisaidie kaka
Hakika kaka unajua nashukuru sana hapo nimenawa kijswali cha nyongeza ni kwamba hzo clone zote mfano za samsung ukpiga ILE NAMBA YA KUTAMBUA KAMANI orgno italeta nin?
private messaging is not redundancy!NI mtzamo wako