Chief of Staff

Kwa hiyo na yeye ni msukule?
 
Mbona ya mzee wa chato anayo Kama hiyo, nimeona juzi alipokuwa anamuelezea mwanae kuhusu makontena,angalieni video.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona hakuna uhusiano wa picha hizo, nani kakwambia picha hiyo ya tangazo ndio saa aliyovaa, kwa huko noheria jakuna siasa za majitaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabila wa Kongo nae anapenda kuvaa Patek Phillipe, liliandika gazeti la Economist likieleza jinsi kleptocrats wa third world walivyo malimbukeni na wezi wa kodi za watu wao.
 
Kabila wa Kongo nae anapenda kuvaa Patek Phillipe, liliandika gazeti la Economist likieleza jinsi kleptocrats wa third world walivyo malimbukeni na wezi wa kodi za watu wao.
Patek Phililipe wana tangazo zuri sana wanalolitoa kwenye printing media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…