mkuu hakuna laptop hapo huwezi cheza games za kisasa kama hizo. gpu za quadro ni kwa ajili ya proffesional apps kama za 3d na video editing halafu hio ni quadro ya zamani inapitwa hadi na baadhi ya simu.
pia siku nyengine ukiwa na thread personal kama hii nitumie pm usiandike jina kwenye thread