Chief Humphrey Mashingia is no more

Chief Humphrey Mashingia is no more

ULUMI

Member
Joined
May 25, 2011
Posts
70
Reaction score
37
Chifu Humphrey Mashingia ameaga dunia leo asubuhi.Kwa wale wasiomfahamu Chifu Mashingia ni miongoni mwa machifu wa kichagga waliotawazwa udogoni kuongoza eneo la Old Moshi.Ni mwanzilishi wa CHADEMA na amewahi kushika wadhifa wa Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar Es Salaam kabla ya kurudi CCM.

Kitaaluma alikuwa Mhandisi(Mechanical Engineer specialised in Weigh bridge Engineering)Ni msomi wa miaka ya sabini.Nyumbani kwake ni Kimara Stop Over upande wa kulia ukielekea Morogoro.Ameacha mjane na watoto watano.Atakumbukwa zaidi kwa uchangamfu wake na wepesi wa ku grasp new ideas and technoloy.Msiba utakuwa hapo hapo nyumbani kwake.
Mungu ailaze pema peponi roho ya Chifu Humphrey Mashingia Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.:israel:
 
Mungu ampe pumziko la milele,Amina
 
Poleni wafiwa akapumzike kwa amani.Je mazishi ni Dar au Kilimanjaro?
 
Raha ya milele umpe na mwanga wa milele umwangazie Chifu Mashingia Ee Bwana, apumzike kwa amani AMINA
 
Raha ya milele umpe e Bwana, Na Mwanga wa milele umuanzazie,apumzikekwa amani.AMINA
Nafikiri mazishi yatakuwa hapa Dar ,Nyumbani kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom