MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,116 Reaction score 35,497 Oct 11, 2013 #21 Tukubali ukweli mchungu kwa hawa wasanii TUMESHAPOTEZA!!
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,832 Oct 11, 2013 #22 mshana jr said: Bado anavaa kile kikuku puani? Click to expand... matumbo said: sio puani tu hadi kiunoni ana shanga pia.. Click to expand... Kipaji Halisi said: Duh..nashindwa ht kuuliza ulijuaje...ingawa nishasikia habari zake na yule mbunifu mhindi mwembamba was Moro Click to expand... dav22 said: da huyu mchizi alikuwa mgumu sana chana sana mashairi lakini sasa naona anaelekea kubaya.....ukiweka kitu cha arusha ukakazia na kitu cha kutoka kule colombia kwa pablo escoba alafu ukaingezea na element za ushoga ushoga ni noma Click to expand... Inamaana jamaa atakuwa WANAMPAKUA!?
mshana jr said: Bado anavaa kile kikuku puani? Click to expand... matumbo said: sio puani tu hadi kiunoni ana shanga pia.. Click to expand... Kipaji Halisi said: Duh..nashindwa ht kuuliza ulijuaje...ingawa nishasikia habari zake na yule mbunifu mhindi mwembamba was Moro Click to expand... dav22 said: da huyu mchizi alikuwa mgumu sana chana sana mashairi lakini sasa naona anaelekea kubaya.....ukiweka kitu cha arusha ukakazia na kitu cha kutoka kule colombia kwa pablo escoba alafu ukaingezea na element za ushoga ushoga ni noma Click to expand... Inamaana jamaa atakuwa WANAMPAKUA!?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,467 Oct 11, 2013 Thread starter #23 muuza sura said: keshakuwa chronic mwanangu!pozi zote zimeisha siku hizi mabatani anaenda kama comedian yaani full kuzingua Click to expand... mi nilidhani kifo cha swahiba ake ngwair kingemfanya aache ngada. Tid kaisha sana aisee
muuza sura said: keshakuwa chronic mwanangu!pozi zote zimeisha siku hizi mabatani anaenda kama comedian yaani full kuzingua Click to expand... mi nilidhani kifo cha swahiba ake ngwair kingemfanya aache ngada. Tid kaisha sana aisee
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 Oct 11, 2013 #24 Remote said: Inamaana jamaa atakuwa WANAMPAKUA!? Click to expand... du hata sijui ila kwa tabia hizi inawezekana anapakuliwa aiseee........
Remote said: Inamaana jamaa atakuwa WANAMPAKUA!? Click to expand... du hata sijui ila kwa tabia hizi inawezekana anapakuliwa aiseee........
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 Oct 11, 2013 #25 Deo Corleone said: mi nilidhani kifo cha swahiba ake ngwair kingemfanya aache ngada. Tid kaisha sana aisee Click to expand... du majanga majangeni haya sasa
Deo Corleone said: mi nilidhani kifo cha swahiba ake ngwair kingemfanya aache ngada. Tid kaisha sana aisee Click to expand... du majanga majangeni haya sasa
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 Oct 11, 2013 #26 vaikojoel said: Aelekee mara ngapi,,wana waiga akina pablo lakini wenzao walikua wana stick kwenye rule yao ya DON'T gET higH on UR owN sUpPLY ,,, Click to expand... da hii principle nimeipenda.....kwamba dont get high on your own supply du..................!!
vaikojoel said: Aelekee mara ngapi,,wana waiga akina pablo lakini wenzao walikua wana stick kwenye rule yao ya DON'T gET higH on UR owN sUpPLY ,,, Click to expand... da hii principle nimeipenda.....kwamba dont get high on your own supply du..................!!
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Oct 18, 2013 #27 walikua wana supply ila kutumia very rarely
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,862 Reaction score 2,156 Oct 19, 2013 #28 daaaa haya bana! kazi ipo; huyo ndo keshaacha sembe na kudungwa sijui kinini.. hali ni tete.