Chicken drinkers (vifaa maji vya kuku)

Chicken drinkers (vifaa maji vya kuku)

waikafashiongallery

New Member
Joined
Aug 27, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Hii ni namna ya kisasa ya kuwapa kuku maji na inafaida zifuatazo.

1.kuku hawawezi chafua maji hivyo kuepushwa na magonjwa.

2. Huitaji kubadili maji mara nyingi ndani ya siku kama ukitumia aina nyingine ya vifaa vya maji tulivyozoea.

3. Rahisi kutengeneza na gharama ni nafuu.

Matumizi:
Kuku atadonoa mshale wa njano ili maji yatoke anywe

Mzigo upo njiani utafika baada ya wiki 3..unaweza kuweka oda malipo ni bidhaa itakapofika. Mikoani pia tunatuma.

Pakiti moja ya 25pcs ni 42500/=
Kuanzia pakti 4 ni 37500/=

Kwa wanaohitaji tuwasiliane kwa namba 0718304800 kuweka oda.. View attachment 1554733.

images%20(9).jpg
View attachment 1554731View attachment 1554732View attachment 1554734​
 

Attachments

  • IMG_1596566359148.jpg
    IMG_1596566359148.jpg
    27.8 KB · Views: 7
Samahani mkuu hayo maelezo ya kudonoa mshale wa njano unawapa kuku au Mimi ndio nitakua nadonoa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom