pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
Watakuwa wanao support ugaidi,maana kuna dini fulani fulani kwao ugaidi ni imani ya kumpeleka mtu mbingunikura ndo mwamuzi, sio waandamane halafu kura wasipige
Kwelkura ndo mwamuzi, sio waandamane halafu kura wasipige
Trump ndio rais ajaye Marekani aje akomeshe magaidi maana sisi tumechokaWatakuwa wanao support ugaidi,maana kuna dini fulani fulani kwao ugaidi ni imani ya kumpeleka mtu mbinguni
Asante kwa marekebisho....*Illinois
Hujifunzi kitu mkuu, Unahabarika....Tunajifunza nini kwa hii post yako?
pamoja kiongoziAsante kwa marekebisho....
Watanzania bwana kwa upotoshaji hawajambo,kwa mfano huyu jamaa anataka kutuaminisha kuwa Chicago wamemkataa Trump. Sasa kama wamemkataa hao unaotaja kuwa wafuasi wake walikuwa nao wamemkataa au? Na kama wamemkataa fujo zilitokea za nini?Usiku wa Jana ijumaa ya Tarehe 11 Machi ulikuwa mgumu kwa Mgombea urais wa Marekani kupitia Chama cha Republican, Mfanyabiashara Donald Trump mara baada ya fujo kuibuka mji wa chicago ambapo alitakiwa akafanye kampeni . . .
Katika hali ya kushangaza maelfu ya wafuasi wa Donald Trump wengi wao wakiwa wazungu walikutana na kundi kubwa la wapinzani wa Mgombea huyo (mchanganyiko wa wazungu na wamarekani weusi) wakiwa tayari kumfanyia fujo akiwasili kuhutubia katika ukumbi wa chuo kikuu cha illinois . . .
Kutokana na hali hiyo ziliibuka vurugu kubwa kati ya Wafuasi na wapinzani wa Trump pamoja na polisi kitu kilichopelekea kuahirishwa kwa mkutano huo wa kampeni na mgombea huyo kutoweka kusikojulikana . . .
Kuna kampeni ya chini kwa chini za kumfanyia vurugu mgombea huyo katika majimbo yaliyobaki . . .
Usichoelewa nn sasa mkuu..W
Watanzania bwana kwa upotoshaji hawajambo,kwa mfano huyu jamaa anataka kutuaminisha kuwa Chicago wamemkataa Trump. Sasa kama wamemkataa hao unaotaja kuwa wafuasi wake walikuwa nao wamemkataa au? Na kama wamemkataa fujo zilitokea za nini?
Kwa nini usiseme kuwa mkutano wa Trump washindwa kufanyika Chicago,baada ya kutokea vurugu kati ya wafuasi wake na wale wanaompinga. Kuishi Tz noma sana
Wangemkataa kwa sanduku la kura na si kufanya vurugu. Hicho ni kikundi cha propaganda za Obama!
bado marekani haijakomaa kidemokrasia.. inchi iliyokomaa kidemokrasia inafanya maamuzi kupitia sanduku la kura. Sasa hawa wanaoleta vurugu kumpinga Trump inaonyesha jinsi gani Marekani haijakomaa kidemokeasia.Tunajifunza nini kwa hii post yako?
kura ndo mwamuzi, sio waandamane halafu kura wasipige
hahahaaa...hakuna din inayosupport ugaidi..ugaid n wewe na roho yako ya kutoipenda din fulanWatakuwa wanao support ugaidi,maana kuna dini fulani fulani kwao ugaidi ni imani ya kumpeleka mtu mbinguni