KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 546
Claxx la 6
2meenda kwenye kambi ya jesh tukiongozwa na jamaa fulani hivi ndo lilikuwa kubwa kwetu..
akatwambia anataka atufundishe jinsi ya kulipua mabomu kwenye sehemu moja ambyo huwa wanatumia hao wanajesh kwa mazoezi yao .. Kumbe lengo la jamaa anataka shaba ili tukauze..
da sitosahau kwamba yy alkuwa akiijua vzur eneo hilo..
akatutega kwenye mabom yy akakaa sehem ya kufyatulia..
ktendo cha kumshukulu mungu ni kwamb m1 w2 alipuliziwa na bomu eneo la sikio daa wanakijiji wakasikia wakajua wanajesh wanafanya mazoez
hao wanakjj mala wakasikia ngolo ya jamaa alyepgwa bom
yaan tukawa kama tumechafua hv..
tulifukuzwa na kufanikiwa kukamatwa wote hata hvo tulikuwa na jez za shule tukapelekwa moja kwa moja shule
aisee tulitembezewa