Chezeya Pesa weye!!!!

Chezeya Pesa weye!!!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
747
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station. "Naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7,ATM Card na karatasi yenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu".
Mtangazaji akasema: Akhasante, kwahiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama anasikiliza?
Juma: Hapana, ningependa kumuombea dedication wimbo wa "R.Kell-U saved me" umfikie popote alipo.:heh::heh::heh:
 
pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
 
Ha a a a a a a a a a a aa a a a a a a t e h t e h !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom