Chezeya kichapo weye

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,701


Ukiona brotherman kajikojolea ujue kichapo kimekolea....
 

Attachments

  • 517155593.JPG
    199.6 KB · Views: 627
mfuasi wa yule shehe anayekanwa na wenzake
 
Hii hali inatisha, na ukiona kwa mwenzako kunaungua, jua siku ikifika kwako kutateketea. Ogopa siku jamii itakapo ona "HERI YA MWISHO WENYE KITISHO, KULIKO KITISHO KISICHO NA MWISHO"
 
Huyo jamaa (Polisi) wa kulia, kama vile alikuwepo kwenye tukio la nyololo?????
 
Atakuwa mwanafunzi wa ifm huyo
 
BAO mbele ya hao jamaa wenye sura ngumu kama limao litoke wapi ndo kwanza nanii kama normal size ni 5" ita-shrink hadi 2"!
Teh mkuu umesema kweli aisee...maana kwenye masaibu kama haya kadude huwa kanasinya balaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…