Chezeni kibaba baba na kimama mama mchana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chezeni kibaba baba na kimama mama mchana...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by chriss brown, Nov 18, 2011.

 1. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa alitokea kumpenda demu mzuri cna,huyo msichana kila wakipanga waka do,anasema,iwe usiku,huyo man akawa anashangaa mbona mchana hataki?,kuna nini?.siku hiyo usiku akamvizia,akasema wakianza tu,atawasha taa amuangalie,haiwezekan galfriend wangu halafu hataki nimuone jinsi alivyo,wakati kwa muonekano wa nje yuko bomba.ilikuwa jumapil siku hiyo,saa tatu usiku,kijana kama kawaida anazima taa,masharti ya mpenzi wake,wamemaliza romance tu,kabla ya mashambuliz kuanza jamaa akawasha taa,USITAKE JUA alichokiona.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Aliona nini?
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi mbona siku hizi JF inataka kuwaje sijui? Sasa thread kama hii ni diskasabo kweli?

  Mtu una post thread ya hivi unategemea nini? Mimi sielewi hapa unataka watu waelimike, wakuulize ulize, wacheke au wafanyeje sasa.

  Kuna mtu alishauri kuwe na interview ya kujiunga JF haki wala hakukosea!
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  eeh! ebu twambie mkaka JF ya zamani ilikuaje wengine wageni humu ndani!
   
 5. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante feis buk.atujibu,maana naona mathread ya ajabu.hii cha mtoto inatolewa.
   
 6. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha utoto wa kutuma vipande vya thread humu....... kama huna story unakausha tu jombaa.
   
 7. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu mjingmjing ni wakupotezea wala msiandike kitu
   
Loading...