Chezea wazaramo wewe!?!!

Chezea wazaramo wewe!?!!

Joined
Jul 25, 2012
Posts
24
Reaction score
2
kweli ktk hi dunia kuna majabu sana na ukiambiwa kua uyaone usidhani maghorofa! ni majabu ya watu hapa duniani.jamaa moja adaiwa kuwa mwzi,kbaka.mdokozi sugu hapo mtaaa mbya zaidi aliwasumbua watu sana kwa tabia yake hiyo mungu si athuman siku moja kakosea njia kazama kitaa ambacho wazaramu ni wengi sana Je! watka fahamu kilicho mpata duh! unaambiwa wazaramu hao hawakumpeleka kituo cha polisi wala hawakutaka kumpiga bali jama aliuawa kwa maneno tu! walimweka kati walimsuta mpaka jamaa/mwizi huyo akafariki
 
Hii si chit-chat tena ni murder-case! Iende jukwaa la sheria.
 
Unajua pressure ikishuka mara nyingi unakufa slow
 
hahahaha! so jamaa alikua na pressure huyo na wazaramu nao wakampa dawa yake chezea wazaramo wew!!?
 
Mimi hata kwenye mazishi ya huyo jamaa nilishiriki , tulishamzika keshokutwa!
 
cc si mambo yote halaf wewe de concious memsikia jion mpoki akisema hahaaaahaahh au ndo weweee. Mmmh hii kali
 
naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam................................
 
Back
Top Bottom