Chezea wababe wa Mererani!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Brazameni mmoja mpaka pouda katoka zake jijini daslam na bonge la pikipiki kwenda kuliuza Mererani.Alipofika nalo,wanaume wakaliangalia na kulikagua then wakaona ni zuri litawafaa.Wakamwambia jamaa,'pikipiki yako ni nzuri sana,hebu kamata laki 3 jombaa'.Jamaa akahamaki na kuanza kutukana,'washenzi nini,kaeni na hiyo hela mkaitumie kununua uji'.Mtemi mmoja akajibu,'okay kama hutaki kupokea hii pesa,tunampa huyu dogo laki 1 akupige halafu baada ya hapo tunakupa laki 2 iliyobaki then tunatembea na mashine.Kweli dogo akapewa laki 1,akamuivisha yule brazameni kisawasawa,wakampa laki 2 iliyobaki halafu wakaondoka na pikipiki.Brazameni akaitumia ile laki 2 kwa nauli kwenda arusha town,akajitibu majeraha and then akadaka basi kurejea dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom