Kuna Msukuma (dereva).... Camp ya wazungu....... akaagizwa aende kuchukua nyembe 50''blade'' kwenye super market mjini........ ambapo huchukua vitu kwa bill na kulipa mwisho wa mwezi...sasa msukuma kufika supamarket akasema katumwa ''bread'' 50 duh ilikuwa sherehe ya mikate siku hiyo camp.