chezea maisha ya bush wewe

Hafu anaonekana juu hana hata shati
 
Maisha bora kwa KILA MTANZANIA yanawezekana. Kweli!?
 
Kwani kuna tatizo gani mkuu hapo, au sababu hajavaa soksi?
 
Bush raha sana,yaani full kujiachia i.e kifua wazi,bila viatu,kuoga mpaka masika,n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…