damian marijani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2010
- 695
- 466
Mzee mmoja alipanda basi kuelekea kwao Moshi kutokea Dar. Wakati wamepita Kibaha binti fulani aliyekaa jirani naye akapokea simu akamjibu mpiga simu kuwa anaelekea Iringa kwenye msiba, kabla hajakaa vizuri binti mwingine akajibu simu naye akasema anaenda Dodoma kwenye interview. Mzee kuona vile akaenda kwa dereva kumtaka asimamishe basi kwani hakuelewa kuwa ile basi inaenda wapi.