chezea fursa wewe

hivi ile team money-monger ya kina lara 1 ..wanasemaje hapa?

babu naona anaweza opoa kitu kibichi lol
 
Last edited by a moderator:
Na keshatangaza kikombe part 2. Hivi ana mke? The Boss nipe jibu nichangamkie fursa
 
Last edited by a moderator:
babu katumia akili zake za kuzaliwa wala hajamkaba mtu!! Tumia zako na wewe utoke,..
 
Hapana chezea kitu fwezaaaaa lazima ung'ale,"wapigwe tu naye vipi siku hizi"
 
kweli hii fursa ya wagonjwa inatumiwa vibaya sana na matapeli, siku hz kila mtu naye ni dakta tiba asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…