Chezea baskeli guta wewe!!!!!!

Mwanaume anasifiwa kwa kazi, na kumbuka imeandikwa kuwa mwanaume atakula kwa jasho, na ndilo jasho lenyewe hilo.

*mwanaume hasifiwi kula. Bali kwa kazi ngumu, pombe kali na mademu wanene*
 
IlaKuna wanaume wanaondoka, balaa.............. Basi tu
Ukute huo ugali hapo ni wa mtu mmoja tu.

Wanaume Mmeumbwa, mateso, mateso.................kuhangahika.
Wapi Boarding School

jamani huu ni unga wa nini,.yanga au?
 

duuu,side mirror zi wapi best Saudari? au kugeuka hakuna kabisa?? kukata kona je? hayo maguta naona yanapatikana baadhi ya maeneo huku A town ni mikokoteni na matoroli tu, niliwahi kuyaona Taveta Kenya, ila naona dar ndo maarufu au?
 
mwanaume kadhini hapo akirudi home ulimi nje,ule uchi wa moto atakavyoufakamia sasa.

akipanda hashuki na gudugudu la Lt5 za maji ya bakharesa anamalizia hapo hapo... lazima fen isimamie upande huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…