Cheza mbali na IT HACKERS wa N/KOREA.

Ngoja nitatafuta hizi habari kwa maana nasikiaga deep web/black market ila sijawahi kuzifatilia sana
sawa, ila kuwa makini uko...
kuna uzi humu umeelezea jinsi ya kuweza kuingia....its too risky!
 
hakufai kule
sijataka hata kujaribu mkuu, ila nilisikia kwa kufanyia marketing ni pazuri sana nadhani freemasons na illuminat wanapatumia kule, ila niliogopa, kuna mtu alishawahi toa uzi kuhusu hii dark web, nikaona wala sigusi
 
Hela lazima itawale, ukiona wanakudharau pambana wakuheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…