Cheza games za Playstation 3 kwenye simu yako

Cheza games za Playstation 3 kwenye simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250627_150224_0000.png


Je unapenda games ? Unahitaji kucheza games za Playstation 3 kwenye simu yako ? Leo nakuletea maujanja haya kwenye simu yako.

Kuna kitu kinaitwa aPS3e Emulator ni app maalum kwa ajili ya kuweza kuwasaidia watu kuweza kucheza games Mbalimbali za Playstation 3 kwenye simu zao kwa kumuwezesha kucheza games zote za PS3.

2_20250627_150224_0001.png


Imeundwa na kuweka kwenye soko la Google play store ni app ambayo sio ya kulipia ni free open source. Hakikisha TU Ram yako inakubwa wa kuweza kucheza games za Playstation 3 bila kukwama kwama kwenye simu yako.

3_20250627_150224_0002.png


Unachotakiwa ni kuingia kwenye soko la play store na kupakua app inaitwa aPs3e Emulator kwenye simu yako. Simu zenye uwezo mkubwa ndo utaweza ku enjoy na kufurahia games 🎯.

#bongotech255 #aps3 #ps3 #games #playstore
 
Back
Top Bottom