Cheza game 300 kwenye dvd au vcd player yako sasa

Cheza game 300 kwenye dvd au vcd player yako sasa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Kuna baadhi ya dvd au vcd player wengi wetu tumenunua ambazo zina uwezo wa kucheza game kwa jostick controllers , mfano kuna singsung ok sasa cha kufanya ili ucheze game hizi 300 itabidi usign in na kudownload file hapa Super Game Vcd 300 - Download - 4shared - games oyun then kaburn image cd kwa kutumia program inayoweza kuburn image kama ashampoo baada ya hapo kaingize kwenye deki yako kuna deki chache ukiweka cd haidisplay chochote, isipodisplay ki2 minya play au return kwenye remote au tumia joystick controller

battle_city.pnghqdefault.jpgimages.jpgimages.jpghh.jpgimagesnn.jpgIMG_20120607_213103-P30.jpgsnes-640x476.png
 
Duh Last time i played this ilikua 2000-2001!! Hivi this era kuna wakucheza hizi games kwel
 
nimejaribu ku download kwa android yangu ikasema !!may harm your device!! nikaachana nayo fasta.
 
Dah Battle City nimecheza sana na bro wangu tulikuwa tunakesha kuna mtu kaiport Android ipo Play. Tatizo mpaka uwe na vcd player inayosupport hizo emulator.
 
dah!!! naikumbuka hii CD, my favorite game kwenye hii CD ilikuwa ni CONTRA na The Legend of Kage.
 
Back
Top Bottom