Cheti kinatafutiwa mwenyewe

Cheti kinatafutiwa mwenyewe

Francis Mawere

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
966
Reaction score
840
Mambo vip wadau!
Kuna cheti ambacho kilisahaulika hapa Ofisini kwetu hivyo naomba kama kuna ambaye anamfahamu mtu huyu anijuze.
JINA: David Abunery Kimaro
CHETI CHA: DEGREE OF BACHELOR OF ARTS(POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC RELATION)
CHUO: UNIVERSITY OF DAR-ES-SAALAM.

Tafadhali wasiliana nami kwa namba zifuatazo:
AIRTEL 0684532490
VODACOM 0757697414
 

Attachments

  • CHETI.jpg
    CHETI.jpg
    82.8 KB · Views: 171
Shukurani sana Mkuu kwa ungwana wako,lakini kwa namna nyingine watu wamevurugwa sana kuhusu hili swala la ajira mpaka inafikia mtu anasahau cheti chake.
 
Soma vizuri ni 2006 ngeli hapo jameni
 
Hivi nini maana ya With Honors. Maana huyu ana Lower Second lakini naye ni with honors!!
 
Hivi nini maana ya With Honors. Maana huyu ana Lower Second lakini naye ni with honors!!
"The term Honours degree has different meanings in the context of different degrees and education systems. Most commonly it refers to a variant of the undergraduatebachelor's degree containing a larger volume of material or a higher standard of study, or both, than an "ordinary", "general" or "pass" bachelor's degree. Honours degrees are sometimes indicated by "Hons" after the degree abbreviation, with various punctuation according to local custom, e.g. "BA (Hons)", "B.A., Hons", etc."
 
From Wikipedia

The term Honours degree has different meanings in the context of different degrees and education systems. Most commonly it refers to a variant of the undergraduatebachelor's degree containing a larger volume of material or a higher standard of study, or both, than an "ordinary", "general" or "pass" bachelor's degree. Honours degrees are sometimes indicated by "Hons" after the degree abbreviation, with various punctuation according to local custom, e.g. "BA (Hons)", "B.A., Hons", etc.
Inamaanisha huyu mwenye cheti hakuwahi "ku-carry over" au "ku-sup" katika kipindi chote cha masomo yake chuoni hapo.
 
Dah! na halii hii mazee c unajua tulivyotesekea huuu mtiti huko vyoun then upoteze cheti kirahic namna hii.
 
Back
Top Bottom