mkuu Sizani msomi kama Huyo atakuwa na akili wajinga maana watu wengi wanaotumia majina ya kimjini mjini elimu yao ni 4m4 waliopata ziro na wale Wa dara la saba ambao kula kulala ni kwa mama na baba wao ni kupiga picha na kuposti ww Fanya uchunguzi ndo utaamini ninachokuambia