Mkuu kipeleke udsm au kituo cha polisi karibu nawe!Cheti kimeokotwa hiki pamoja na cheti cha form four na six vyote original.Tafadhali sambazeni kwenye groups nyingine.Piga simu 0784292758
View attachment 474934
Wengine hawatumii majina yao mkuu.....wanatumia ya mjinimbona maisha rahisi sana chukuwa jina kaliingize fb utampata muhusika
Wengine hawatumii majina yao mkuu.....wanatumia ya mjini
Hivi inakuaje mtu anapata with honoursWith Honours
Nahisi cheti hiki kimetengenezwa buguruniWith Honours
HahahahaOmary atajiita "Ommlux boy".
Kaaazi kweli kweli...!!!!
mkuu sizani msomi kama Huyo atakuwa na akili wajinga maana watu wengi wanaotumia majina ya kimjini mjini elimu yao ni 4m4 waliopata ziro na wale Wa dara la saba ambao kula kulala ni kwa mama na baba wao ni kupiga picha na kuposti ww Fanya uchunguzi ndo utaamini ninachokuambiaWengine hawatumii majina yao mkuu.....wanatumia ya mjini
KAMA MIMI VILE LA MJINI "NZURI PESA"!Wengine hawatumii majina yao mkuu.....wanatumia ya mjini
Sio rahisi kama unavyofikiria,hayo majina unaweza kukuta yanafanana na watu wengine pia,kumbuka majina yetu sio unique au unakua na hatimiliki nalo wewe peke yako tu.mbona maisha rahisi sana chukuwa jina kaliingize fb utampata muhusika
aisee.mkuu Sizani msomi kama Huyo atakuwa na akili wajinga maana watu wengi wanaotumia majina ya kimjini mjini elimu yao ni 4m4 waliopata ziro na wale Wa dara la saba ambao kula kulala ni kwa mama na baba wao ni kupiga picha na kuposti ww Fanya uchunguzi ndo utaamini ninachokuambia
Moja ya sababu niijuayo ni graph ya matokeo yako ya mwisho wa semester iwe inapandaHivi inakuaje mtu anapata with honours
ushakuwa faizafox sikuiziaisee.
hio ndo changamoto sasaSio rahisi kama unavyofikiria,hayo majina unaweza kukuta yanafanana na watu wengine pia,kumbuka majina yetu sio unique au unakua na hatimiliki nalo wewe peke yako tu.