Cheti cha kuzaliwa

Ngufumu

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
29
Reaction score
48
OFA OFA OFA
Ofa ya Pasaka 2026
HII NI OFA MAALUMU KWA YATIMA TU
Ok ipo hivi kama unamjua mtoto yatima umri chini ya miaka kumi(<10yrs) na hana cheti ntamsaidia kupata cheti za kuzaliwa Bure kabisa(hadi ile ya control namba ntalipia mimi asiwaze kabisa)
Vigezo ni vifuatavyo:
1. awe na kadi la kliniki au cheti cha ubatizo
2. kitambulisho cha mzazi mmojawapo kati ya cha kura au nida(ingawa ni R. I. P)
3. awepo mtu wa kumfatia hicho cheti wilayani(ofisi za Rita Wilaya aliyopo) kikiwa tayari makadirio siku 3-5 za kazi
Nb: Mimi siyo afisa wa RITA wala mwajiriwa wa RiTa mimi ni Kagift sema tu najua ABC za kupata Cheti unataka kujua nilijuaje stay tunned....

Anyway kwa ww ambaye siyo yatima lakini unahitaji cheti naweza pia kukusaidia kwa gharama kidogo tu karibu sana, tumia link au QR code chini kunipata

 

Attachments

  • wa.link_h75r9w.png
    4.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…