IELTS means International English Language Testing System. It is a test of English language proficiency. ..kwa Tanzania sijaua unafanyikia wap..but kama ulishawahi kusikia TOEFL ambapo centre ipo chuo cha Mwl Nyerere - Kivukoni Dsm, ndo kitu hicho hicho. Ili kupata chet, unajiregester online, then unachagua kituo cha mtihan kulingana na nchi uliyopo, then yu pay kulingana na gharama zao..from what I think Ni amaount ambayo can be around (Tzs250,000 - 450,000).. i stand to be corrected apo kwenye amount. Kwa maelezo zaidi kama upo Dsm tembelea chuo cha Mwl Nyerere unaweza pata taarifa sahihi zaidi.. au Google!