Cherehani zinauzwa kwa bei nafuu

Dynamics

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
249
Reaction score
353
Habari wakuu

Mashine hizi za kisasa za kushona kwa kutumia umeme zinauzwa .

Unaweza kushona mishono zaidi ya ishirini kwa wakati mmoja kwa kadri utakavyopenda wewe.

Bei yake ni Shilingi 200,000/- kwa kila moja.

Mashine zipo Dar Es Salaam ila unaweza kutumiwa popote.

Karibuni
 
Hizo mashine unauza na meza zake au ni vichwa tu!?
 
Unauza na Meza yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…