Cheo hichooooo

Pamoja na yote hawa madereva wa STK, STL na SU wanajifanyaga ndiokilakitu barabarani
 
Tufate sheria bila shuruti hakuna wa kuonewa.
-Funga mkanda
-usiende kasi mwendo kasi ni hatari
-Usilipite gari la mbele unapokatazwa kufanya hivyo.
-Fata sheria za usalama barabarani hutaonewa.
 
Pamoja na yote hawa madereva wa STK, STL na SU wanajifanyaga ndiokilakitu barabarani

UMESEMA kweli kabisa....Hata wakielezwa wajirekebishe barabrani huwa hawasikii kabisa, sijui kwanini...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…