Kuna watu flani walituharibia sana hii nchi..yaani kila ukigeuka unakutana na kingora..nani ooh first lady anazindua sijui nn...anatoa vigodoro ..anafanya sijui ----- gani yaani ovyooo...sasa jembe limeingia nchi inaenda vzr
Rais Magufuli kaudhihirishia umma wa Watanzania kwamba mke wa Rais SIO 'Naibu Rais.'Na wala si sehemu ya taasisi ya Urais.Na pia kuwa mke wa Rais si fursa ya kujitengenezea taasisi uchwara za ulaji.