Chenge, Tibaijuka, Kilaini walipuliwa mabilioni ya IPTL

Chenge, Tibaijuka, Kilaini walipuliwa mabilioni ya IPTL

Si kwa undumilakuwili wa bwana yule, lakini ngoja tusubiri tuone. Yule Said Lugumi hata kumtaja anaogopa sijui alikamatishwa mshiko wa kiasi gani maana woga aliokuwa nao kwa Lugumi si bure.

Soon utawaona kizimbani
 
Si kwa undumilakuwili wa bwana yule, lakini ngoja tusubiri tuone. Yule Said Lugumi hata kumtaja anaogopa sijui alikamatishwa mshiko wa kiasi gani maana woga aliokuwa nao kwa Lugumi si bure.
Fundi viatu wa Magu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani hiyo si ilikua ikijulikana Siku mingi. Kwani ni ya Leo hii?
 
Narudia tena, "Hakuna pesa ya serikali itakayopotea, yeyote aliyehusika ataitoa pesa hiyo kupitia tundu lolote la mwili"
 
Weka chako tuone.

Swissme
Mimi sijui ndo maana naandika kiswahili! Kila siku nakukanya usiandike usichokifahamu. Watu wenye misimamo mikali kama wewe si VILAZA ndugu yangu. Jaribu kuproofread kila andiko usisahau (r na l)
 
Narudia tena, "Hakuna pesa ya serikali itakayopotea, yeyote aliyehusika ataitoa pesa hiyo kupitia tundu lolote la mwili"
Kiongozi wetu Anataka wajukuu zetu wamuweke kwenye kundi gani kwa kauli zake hizo zisizo na weledi ndani yake?
 
Back
Top Bottom