Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Gazeti la leo la Mwananchi limemnukuu Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge akijiita tumbili. Chenge alikuwa akizungumzia kuhusika kwake kwenye suala la Escrow na uwepo wa taarifa za kuachia ngazi kwake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge.
Akikanusha kuachia ngazi,Chenge alijiita tumbili kwa kusema: "Mimi ni tumbili. Na hata hili nitaliruka". Chenge amekana kuhusika kwa lolote kwenye maovu ya Escrow.
Hata Ngeleja naye amekanusha kujiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge.