Chenge, Dkt. Kijaji ‘wapambana’ na Mnyika matumizi ya Tsh. Bilioni 976

Naona hujaelewa ,aidha kwa makusudi au upendo kwa mnyika umezidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawataki kuelewa. Unajua kuna watu wanaibua mijadala ambayo haipo na wanaforce majibu

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Endelea kupiga ramli za kijinga ukitoa ushuzi ukifikir AC utazikwa nayo!!Nonsense has been customary source of your income!!
Kwamba maelezo yote yale huoni wapi Mnyika alikua anachemka?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Sifagilii siasa.. maana najua wanasiasa wote ni professional liar.. and so wapambe wao.

Kitu ulichoandika hapa hakina mashiko.. nikimaanisha hakina impact kwenye jamii ya kitanzania.
 
Na kuongezea wapinzani wako kiasi gani bungeni hadi wazuie sheria mbovu zisipitishwe. ? mbona sheria ya kikokotooo waliipinga ila kwa mbwembwee ilipitishwa najiwe akaisaini kwa mbwembwee leo hii wanaona aibu.

Bulaya alivyosema kua serikali imefilisi mifuko ya hifadhi ya jamii waliipinga kwa nguvu zoteeeeee kua sio kweli. Sasa CAG kawa umbua
Nonsense hili ndo umeliona la maana kuliko matrilions yaliyopotea!!!
Partisanship distort mental ability!!You always utter nonsense just because of ukada!!

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Kanuni zilitungwa na nani?,kubalini kiki zingine zinagoma

Sent using Jamii Forums mobile app

..ni kanuni mbaya.

..na Mh.Mnyika anaeleza kukwazika nayo.

..sasa inayomzuia mbunge asiihoji au kuiwajibisha serekali haina maslahi kwa nchi.

..nakushangaa unavyotetea Mh.Mnyika asipewe maelezo kuhusu mabilioni ya fedha za umma yalivyotumiwa na serekali.
 
Hapa ndipo huwanahisi CCM wanaudugu na shetani! Hivi Chenge kweli wa kurudi bungeni na kuendelea kuwepo bungeni na kupata uongozi!
 
Back
Top Bottom