Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

walisema chuuu uwe ni nani onywanina uyu, wasukuma wa kinyantuzu bwana hadi raha lugha yao
 


wale mabint wawili alio wagonga kwa gari damu zao zitamuandama mpaka mwisho..kuna yule binti aliyekuwa anasoma sauti akampangishia chumba Capri point mwanza unajua alichonfanyia baadae ya binti kuona anapoteza muda na li fataki!!! kiongozi huyu kila scandle lazima atajwe.Hana lolote chenge zaidi ya kuwa mzee wa visasi
 
Safi sana,lazima wananchi wabadilike sasa na kuhakikisha tunayafukuzilia mbali na kuyaondoa haya matezi dume yanayoifilisi nchi yetu na kuyafikisha katika vyombo vya sheria..
 

Mungu yupi aliyemleta?Mungu siyo Mungu wa wezi.
 
Tatizo mnajidanganya wenyewe kisha mnadai mmeibiwa kura. CCM haiwezi kushindwa kupitia propaganda za JF. Fanyeni kazi ya siasa kwa watu
Kweli ma ccm ni janga la taifa,wizi wote na hujuma za chenge bado mnamtetea!Ama kweli ukiyashangaa ya Musa utayaona ya filauni.
 

Huyi Mungu wa Chenge, nadhani ni Mungu wa wezi na majambazi.Maana Mungu anayeruhusu wizi, ufisadi, rushwa na mauaji duh!
 
Kama hata Ng'wakibuga wamefikia hatua waliyochukua basi tuko kwenye dakika za mwisho, maana kumbukumbu za historia ya Usukuma zinasema hilo ni moja ya eneo lililoaminika anayetoka huko uwezo wake wa kuchambua na kuelewa mambo ulikuwa mdogo (Mkasa huu au tukio hili limenikumbusha msemo wa " shamba o ng'wakibuga')
 

Mungu yupo aloyemlet@?
 
Huyu ni jambazi wa rasilimali na pesa za nchi,hakupaswa kuwa uraiani!alipaswa kuwa jela siku nyingi,huyu mzee ni hatari kuliko majambazi wanaotumia silaha,jela ndio makazi yake kama tungekuwa na uongozi usio oneana haya nilipata shock of my life kwamba ndio mliempa uandishi wa katiba pendekezwa,wa TZ nani aliewaroga jamani?
 

Du! Yaani fisadi anapokelewa kam mfalme! Dharau hii kwa Wanyantuzu.
 
Ni aibu ya aina gani, mtu anatuhuma nyingi na yuko kwenye kampeni za kusaidia wagombea kupitia ccm. Kama ccm wanasema hawana uhusiano na wezi kwa nini wamruhusu huyu kushirikiana nao! Their all thieves
 
Mimi huwa nambiwa vijana wanawaogopa huyu chenge na cheo eti niwashirikina hivyo siyo rahisi kuchukua form na kuwapinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…