Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

Tatizo mnajidanganya wenyewe kisha mnadai mmeibiwa kura. CCM haiwezi kushindwa kupitia propaganda za JF. Fanyeni kazi ya siasa kwa watu
 
Mzee chenge ni kiongozi wa watu aliyeletwa na Mungu hapa dunia kuja kusaidia watu wake na kweli anawasaidia anasomesha watoto wasio jiweza, anajenga zahanati, anachimba visima, amejenga mashule na kila aina ya maendeleo ameleta jimboni kwake hata mkimuonea wivu hamtakaweza kuubadili ukweli Mzee chenge atabaki kuwa kipenzi cha wanabariadi na ni mbunge wetu wa maisha Mzee chenge oyeeeeee
 
Uongo, uongo, muogepeni mungu acheni kuwafanya watanzania ni wajinga kama ninyi mlivyo waongo mbona mmezoea uongo hivyo? Kweli Frenk unawezaje kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho? Ukizoea uongo utaishi kwa uongo!
 
Chifu A, Chenge nakuombea kwa mungu akubariki endelea kuchapa kazi Bariadi inahitaji maendeleo na siyo majungu! wewe ni mbunge wa vitendo na maendeleo umefanya mengi jimboni kwako ambayo hayakuwepo kipindi cha nyuma usikatishwe tamaa na watumwa wa mawazo ya wachaga, Bariadi inakuhitaji kuliko kitu chochote maana wewe ni maneno kidogo lakini vitendo vingi tunakupenda, tunakuhitaji na tutakupigania hadi tone letu la mwisho la damu yetu, Bariadi ni yako ondoa hofu wewe chapakazi Chifu!
 
Jamani Hilo pepo hapo juu liitwalo Kicholi sijui....Limepagawa Angalieni pindi likimtoka huyo linaweza kurukia yeyote alie jirani Tafadhari jaa mbali naye

BACK TANGANYIKA
 

Polisi nao bana, yaani badala ya kuwakamata wazomeaji kwa amri ya Mwanasheria Mkuu Mstaafu, wao wakamkamata yeye na kumuondoa hapo kwa kivuli cha "escort"! Hawa Polisi watakuwa ni wa CHADEMA tu, sio bure! Au vp mkuu ifweero.
 

Hapo penye red umeona ehhhh, hicho ndicho kilichoua na kitaendelea kuua CCM kanda ya ziwa na kwa vile CCM kazoea kamwe "Kenge haachi mila zake mpaka damu itoke puani"
 


Usimudanganye Chenge. Najua unaishi kwa pocket money ya Chenge.

Umesema taarifa hii ni ya uongo. Sasa naeweza kuweka namba za simu za wakazi maarufu wa Bariadi. Ucheck nao watakujuza kwa sasa hii ni habari mototo huku Bariadi hakuna mtu asiyejua.
 

Mzee Chenge kweli na wewe unakubali kuingia kwenye malumbano hapa JF? Hebu nenda kapumzike Mzee acha kubishana na vijana kwenye mitandao!
 
Uongo, uongo, muogepeni mungu acheni kuwafanya watanzania ni wajinga kama ninyi mlivyo waongo mbona mmezoea uongo hivyo? Kweli Frenk unawezaje kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho? Ukizoea uongo utaishi kwa uongo!

Ni lini Wewe Mzee Chenge ulisema ukweli?
 
Uongo, uongo, muogepeni mungu acheni kuwafanya watanzania ni wajinga kama ninyi mlivyo waongo mbona mmezoea uongo hivyo? Kweli Frenk unawezaje kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho? Ukizoea uongo utaishi kwa uongo!

WEKA UKWELI unaoujua basi , HIVI UFISADI WOTE HUO WA CHENGE KWANINI ASIZOMEWE NA KUPIGWA MAWE ?
 
Ameleta milioni 100 chenji kusaidia ujenzi wa maabara.....wachukue pesa wamtelekeze tu
 
Kumbe nguvu Ya pesa kuna wakat haisaidii, wananchi wamechoka wanataka mabadiliko ccm walitambee hilo...
 

Yeye aliwaamuru polisi kama nani? Some people are extremely.funny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…