Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

Frenk wewe ni wakala wa shetani tena shetani aliye laaniwa unawezaje kusema uongo bila aibu mikutano yote ya mzee chenge mimi nilikuwepo tangu kata ya Isanga hadi leo kata ya Sapiwi amepokelewa kama mflume na wapiga kura wake na hajafanya mkutano Mwakibuga kama unavyo sema wewe kama umetumwa nakupatia pole mzee chenge ana nguvu sana Bariadi na mwaka kesho atashinda kwa kishindo mwambie aliye kutuma imekula kwako shetani mkubwa usiye kuwa na aibu!
 
Mtu mzima bawacha mzima hata matumizi ya mabano hujui halafu unataka kutunga uongo wa kipuuzi kama huu nani atakuelewa.
Pepo shindwaaaa na ulegeee..

Mapepo ya Lumumba nyie mshindwe JF yetu nendeni huko mwanahlisi.forum mtuachie JFyetu Lumumba nyie ni mapepo tupu
 
Pepo tokaaaaaaaaa..Lumumba chama cha mapepo
 

Kumbe alipokelewa kama MFLUME ndo maana kazomewa. Kwani mflume kikwetu ni dumuzi anaebungua mahindi.
 
Kila mwana ccm ni mfalme?
 
Alikuwa anaisikia nguvu ya uma,ndio magamba yajue
 

Imechokwa ccm,na mbunge wa ccm.......
 
Mtu mzima bawacha mzima hata matumizi ya mabano hujui halafu unataka kutunga uongo wa kipuuzi kama huu nani atakuelewa.

Watanzania wote waliojitambua tumemuelewa vizuri sana,pole wewe kama hukumuelewa.
 
Heee...inamaana Chenge bado anautaka ubunge? Ntaambulia aibu kama hamwezi kusoma alama za nyakati. Wimbo wa sasa ni chadema mkobozi 2015! Jifunze kuzijua nyakati na heshima yenu itadumu.

Magamba ni sawa na bondia aliyetandikwa ngumi ya kichwani,hajitambui
 

Jibu swali ameokolewa na ffu,ama la?siyo unaleta ngonjera hapa!!!
 

This time maCCM yamewakomesha kwa kuwauzia mbegu za Pamba zisizoota,,,, na bei ya 750. Mwakani yatapewa bei ya 1000 yatasahau kila kitu na kuipa kura CCM then MaCCM yanashusha bei kwa miaka minne. 2010 maCCM yalipanga bei ya Pamba 1,200-
 
Huyu fisadi si ndiye aliye ingia bungeni usiku akaanza kumwaga viunga mpaka kwenye kti cha spika..kamera zika mdaka...kuhojiwa akadai alikuwa antafuta sehemu ya kukaa...usikuwa wa manane unatafuta sehemu ya kukaa...ma mbaya zaidi hawa fisadi wana amini sana ushirikina na sasa vinawatokea puani...
 
...we unatafuta sehemu ya kukaa mpaka kwenye kiti cha spika?
 
Wazee wa maandamano kweli nyinyi ni waongo sana mnawezaje kudanganya umma kwa jambo ambalo sio la kweli narudia kusema mzee chenge aka chenge na maendeleo hakuwa na mkutano mwakibuga wala hakusimama hapo sasa huu uongo kama wa viongozi wenu wa UKAWA umetoka wapi? Kumbuka wananchi wanahitaji maendeleo siyo uongo na matusi kwanza hicho chama cha wachaga hakipo Bariadi kabisa na ili muamini uongo wenu subiri uchaguzi mkuu mtapigwa nyuma na mbele nyambafu zenu!
 
Alidhani ni zamani ccm kwishney bado wengine huwezi ongoza watoto na wajukuu ss wajukuu wamegoma
 
Miongoni mwa majimbo yaliyowazi ni hili.

Kama Chadema hawajapata mgombea nina jamaa yangu naona anafaa ni injinia wa ujenzi mtu wa Dutwa.

Je ni kipenzi cha CHADEMA? Je tukimtia kiwembe damu yake itakuwa na rangi ya bendera ya cdm? CV yake ina dalili za CDM?

Chadema wameshasema screening ya safari hii ni kali ili kutokufanya makosa ya aina ya akina Shibuda, ZZK, Chilisosi, etc.. Basi mshauri aanze sasa hivi kupeleka maombi yake ktk ngazi husika

Kuhusu jimboni kwa Chenge huko toka zamani Mheshimiwa wa vijisenti hupita kwa taabu sana tena kwa mbinde kubwa pamoja na kupika wali na kuchinja ming'ombe kwa fujo, Naamini safari hii akitokea mgombea makini asiyejua kupokea rushwa BASI AUTOMATIC CHENGE WILL BE OUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…